Mume na mkewe wamekamatwa walipotua mjini Paris
Mhudumu huyo alimfahamisha rubani kuhusiana na kifaa hicho na shughuli za kutua kwa dharura zikaanza.
Ndege
hiyo ilitua saa sita usiku wa kuamkia Jumapili, huku wataalamu wa
kutegua mabomu kutoka jeshi la wanamaji la Kenya wakiingia ndani ya
ndege hiyo kukagua kifurushi kilicholeta taharuki.
Sasa kitengo cha ujasusi cha Ufaransa kimeanzisha uchunguzi wa kina kubaini kilichosababisha tishio hilo. CHANZO: BBC |
No comments:
Post a Comment