Magoli ya Real Madrid yalianza kufungwa dakika ya 3 na Danilo, Gareth Bale dakika ya 25, 42, 61 na 70, Cristiano Ronaldo dakika ya 30 na 54 na Karim Benzema dakika ya 48, 80 na 90. Wakati magoli ya Rayo Vallecano yalifungwa na Antonio Amaya dakika ya 10 na Jozabed dakika ya 12. |
No comments:
Post a Comment