Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako akizungumza kwenye mkutano wa Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges). |
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa zenye lengo la kulifanya Jiji kuwa la mfano barani Afrika. |
Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada. |
Afisa Mawasiliano wa WWF, Michael Bwoma(kushoto) akifatilia kwa makini wengine ni waandishi wa habari mkoani Arusha. |
No comments:
Post a Comment