![]() |
| Kiungo wa Southampton Steven Davis (kulia) akiwania mpira na kiungo mkabaji wa Arsenal Mathieu Flamini kwenye mtanange huo. |
![]() |
| Cuco wa Southampton akishangilia goli la kwanza dhidi ya Arsenal. |
![]() |
| Wachezaji wa Arseal wakiwa hawaamini kinachoendelea. |
![]() |
| Mshambuliaji wa Southampton Shane Long akipachika kimiani goli la pili. |
![]() |
| Theo Walcott(kushoto) akikabiliana na mchezaji wa Southampton. |








No comments:
Post a Comment