DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, December 07, 2015

WAREMBO 7 KUIWAKILISHA AFRIKA, MISS UNIVERSE NCHINI MAREKANI

GUMZO la urembo Disemba, 2015 linaibeba Tanzania kwenye uzito wa juu, naomba nikukumbushe kwamba fainali za Mrembo wa Dunia (Miss World) ni Disemba 19, 2015. Lakini fainali za Miss Universe haziko mbali pia, ni Disemba 20, 2015.
Tunao warembo wawili wanaotuwakilisha vizuri kwenye mashindano yote makubwa mawili.
Huyu ni Mrembo wetu Lilian Deus Kamazima ambaye tayari yuko Sanya China kushiriki fainali ya Miss World 2015.
Mrembo Lorraine Marriot akivalishwa Taji la Miss Universe Tanzania… Huyu ndio mwakilishi wa Tanzania kwenye Miss Universe Duniani 2015.
Sasa nakukutanisha na warembo 7 wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika katika hatua ya fainali ya Miss UniversePlanet Hollywood Las Vegas Resort & Camp; Casino ndani ya Las Vegas Marekani.
Jina: Refilwe Mthimunye
Umri: 24 (South Africa)
Jina: Debbie Collins
Umri: 23 (Nigeria)
Jina: Lorraine Marriot
Umri- 19 (Tanzania)
Jina: Hilda Frimpong
Umri: 26 (Ghana)
Jina: Whitney Shikongo
Umri: 20 (Angola)
Jina: Sheetal Khadun
Umri: 26 (Mauritius)
Jina: Ornella Obone
Umri: 19 (Gabon)
Kila la heri kwa warembo wetu kwenye Mashindano hayo makubwa duniani.

No comments:

Post a Comment