DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, December 04, 2015

MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA UMOJA WA SEKTA BINAFSI NCHINI – TPSF IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa  Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 3, 2015. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Dk Reginand Mengi Mwenyekiti wa  Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) wakati wa mkutano na wafanyabiashara Ikulu.
Dkt. Reginand Mengi Mwenyekiti wa  Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation – TPSF) akisoma hotuba yake katika mkutano huo uliofanyika Ikulu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akitoa salamu zake Kwa Rais Dk John Pombe Magufuli kwa niaba ya wawakilishi wa Benki mbalimbali nchini.
Baadhi ya watendaji kutoka serikalini wakiwa katika mkutano huo Kulia ni Katubu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole  Gabriel. Picha zote na Ikulu.

No comments:

Post a Comment