Globe Soccer Awards 2015 zilizotolewa Dubai ni tuzo maalum kwa ajili ya wanasoka, viongozi bora wa klabu, wakala bora, kocha bora. Hizi ni tuzo ambazo zinatolewa kwa uandaaji au ushirikiano wa chama cha mawakala wa wachezaji soka barani Ulaya EFAA (European Association of Player’s Agents) na umoja wa vilabu vya soka barani Ulaya ECA (European Club Association). Hii ndio list ya washindi wa tuzo hizo kwa mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment