Muungano wa nchi wanachama wa Afrika
Magharibi ECOWAS umezitaka nchi wanachama kupiga marufuku mtandio
unafunika hadi uso, ili kuzia mashambulio yanayotekelezwa na wanawake wa
kujitoa mhanga.
Mkutano wa ECOWAS uliofanyika mjini Abuja Nigeria
umesema mtandio huu wa hadi uso unayumbisha operesheni za maafisa wa
usalama katika kuwanasa wahalifu. |
No comments:
Post a Comment