WATU
12 wamepoteza maisha huku wengine 22 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni
ya NEW FORCE ONE namba za usajili T483 CTF walilokuwa wakisafiria kutoka
Dar es Salaam kwenda Mbeya leo kugongana na Lori la mbao lililopasuka
tairi katika eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu
ya Iringa- Morogoro.
Ajali
hiyo imetokea mchana huu na jitihada za kusafirisha majeruhi
zinaendelea. FK Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huo na
itawajuza zaidi kuhusiana na ajali hiyo. T
|
No comments:
Post a Comment