Mmoja wa wagombea Urais wa Marekani
kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump (pichani) amesema kwamba
amekaribisha vyema kauli ya Rais wa Urusi Vladmir Putin kumhusu.
Bwenyenye huyo wa Marekani amemsifia Putin kama kiongozi anayeheshimiwa nchini mwake na hata katika ngazi ya kimataifa. |
No comments:
Post a Comment