Huu ni mchezo wa pili wa FC Barcelona katika michuano hiyo baada ya mchezo wa nusu fainali kuibuka na ushindi mnono wa hat-trick ya mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez. Katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo FC Barcelona wameondoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina na kutwaa Kombe hilo. |
No comments:
Post a Comment