DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, December 18, 2015

ROCK CITY MALL KUTAMBULISHWA KESHO JIJINI MWANZA

Katikati ya Jiji la Mwanza ni habari njema kwamba kesho ni utambulisho wa shopping mall, ambapo kutakuwa na burudani na michezo ya aina yake, Katibu wa Kampuni ya Mwanza City Commercial Complex wajenzi na wamiliki wa Shopping mall hiyo Joseph Mlinzi amesema.
Kesho na kesho kutwa utafanyika utambulisho rasmi na sio uzinduzi, ujenzi umekamilika na wapangaji tayari wameweka vifaa vyao ndani. "...sasa tunaona kama ni bibi harusi tayari amekamilika kwa kutambulihwa kwa watu". Alisema Joseph Mlinzi Katibu Shopping Mall.


Picha zote na millardayo.com

No comments:

Post a Comment