Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na Ajira Mh. Gaudensia
Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt. Ramadhani Dau (wapili
kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama (wapili kushoto) pamoja
na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la
kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi, Mkoani
Kilimanjaro. |
No comments:
Post a Comment