Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia
katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe
za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa viongozi mbali mbali wa CCM wakati
akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha
sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa chipukizi mara baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za
maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na
UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha
sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akicheza kwa furaha jukwaa kuu.
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akihutubia umati wa wananachi.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama
wapya akiwa na Mbunge wa Songea Mjini Dkt Emmanuel Nchimi na Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea
leo,katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa
CCM.
Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi
wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo
katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM. Picha zote na Ikulu.
No comments:
Post a Comment