Balozi Ndilowe akiwa katika picha na Rais Kikwete na kufanya naye mazungumzo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho. |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Baliozi mpya wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Hawa Ndilowemara mara baada ya kuwakilisha hati za Utambulisho. |
Balozi mpya wa Kuwaiti nchini Tanzania Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam Februari 18, 2015. |
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania akiwa katika picha na Rais Dkt.Jakaya Kikwete. |
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania na Rais Dkt.Jakaya Kikwete.wakiwa katika mazungumzo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na balozi mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Thamsanqa Dennis Mseleku baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho na kufanya naye mazungumzo. |
No comments:
Post a Comment