Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akijibu maswali wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni jana. |
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango
Malecela akijibu maswali ya wabunge.
|
Baadhi ya Mawaziri wakiwa kwenye ukumbi wa Bunge. |
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Juma Nkamia Bungeni mjini Dodoma jana. |
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Diana Chilolo akiuliza swali la nyongeza kwa Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Mahakama ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida. |
Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola akichangia taarifa za kamati zilizowasilishwa leo Bungeni mjini Dodoma. |
Baadhi ya wageni ambao ni wanafunzi wa Shule ya Awali ya Mchepuo wa Kiingerea ya Labi ya mkoni Dodoma wakiwa na walezi wao, wakifuatilia Bunge. |
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akizungumza na Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji baada ya Bunge kuahirishwa jana asubuhi. |
No comments:
Post a Comment