Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akibadilishana hati za Mkataba na Balozi wa Japan hapa nchini Mheshimiwa Masaki Okada mara baada ya kutia saini zao kwenye mkataba huo. |
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akizungumza mara baada ya kumaliza kutiliana saini mkataba wa mradi wa upanuzi wa Shule ya WAMA Nakayama. |
No comments:
Post a Comment