DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Sunday, February 15, 2015

PINDA AAGANA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao.  Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu  jijini Dar es salaam  Februari 13, 201 kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah  baada ya mazungumzo yao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah  baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 13, 2015 kuaga. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment