Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi Schadt Februari 03, 2015 jijini Dar es Salaam. |
Rais Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa nyimbo za taifa za mataifa hayo mawili. |
Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa ajili yake juzi katika viwanja vya Ikulu. |
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ujembe kutoka Ujerumani uliondamana na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakati Rais huyo alipowasili Ikulu. |
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck Ikulu na kufanyanaye mazungumzo. |
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck pamoja na ujumbe wake. Picha zote na Ikulu. |
No comments:
Post a Comment