Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku jijini Dar es salaam. |
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojitokeza kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck wakiwa na nyuso za furaha. Picha zote na Aron Msigwa – MAELEZO. |
No comments:
Post a Comment