Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015. |
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya kikundi cha Mangala baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani
Iringa Februari 18, 2015.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoan Iringa Februari 18, 2015. |
No comments:
Post a Comment