MKUU WA MKOA AFUNGUA MAFUNZO YA MITANDAO YA KIJAMII
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar
(ZEDO) Ussi Said Suleiman akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Abdallah Mwinyi Khamis katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Social
Media huko Chuoni kwao Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.Picha na Makame
Mshenga wa Maelezo Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah
Mwinyi Khamis (alie simama) akiwahutubia washiriki wa mafunzo ya siku
tatu ya matumizi ya Mitandao ya kijamii (Social Media), hawapo pichani
yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar kwa
kushirikiana na Kigamboni Community Centre KCC kutoka Dar es Salam, huko
Chuoni kwao Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga wa
Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimskiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis (hayupo pichani).
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis (wakatikati waliokaa) katika picha ya
pamoja na washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya Mitandao ya
kijamii (Social Media). Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment