Mamia ya wakazi wa Tunduma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya kumsimamisha alipokuwa njiani kuelekea mkoani Rukwa kwa ajili ya Ukaguzi wa barabara za mkoa huo. |
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia wananchi hao wa Tunduma. |
Wananchi wa Sumbawanga mjini wakifurahia hotuba ya Waziri wa Ujenzi kuhusu ujenzi wa barabara za lami mkoani Rukwa. |
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia wananchi hao wa Sumbawanga mjini kuhusu ujenzi wa barabara za mkoa huo. |
Sehemu ya barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 225 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami. |
Waziri wa Ujenzi akiaagana na wakazi wa Sumbawanga mara baada ya kuwahutubia. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Ujenzi. |
No comments:
Post a Comment