Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel
Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za Binadamu
na Maendeleo Watu wenye Ulemavu (HREDP), kwa ajili kuwawezesha kuwa
wafanyabiashara wajasiriamari, katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya
Msingi Buguruni Viziwi jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya na (kulia)
ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Abubakar Rakesh na mnufaika wa kibanda
hicho, Hebron Mwansele (kwenye baiskeli). |
No comments:
Post a Comment