DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Thursday, December 11, 2014

IDRIS SULTAN AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

Idris Sultan ambaye ni mshindi wa kwanza wa Big Brother Africa 2014 akisisitiza jambo wakati akiongea na Waandisi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo.

Idris Sultan ambaye ni mshindi wa kwanza wa Big Brother Africa 2014 akiwaeleza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) uzoefu na changamoto mbalimbali wakati akiwa nchini Afrika Kusini ambako ndiko shindano hilo hufanyika. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya MaltiChoice Tanzania, Furaha Samalu na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Barbara Kambogi.
Irene Laveda, ambaye alikuwa mgombea mwenza wa Idris Sultan akizungumza machache wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment