Video
Queen matata hapa nchini, Agnes Jerald 'Masogange' ameamua kufunguka na
kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina
lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook. Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake
waache mara moja kwa sababu wanamjengea hisia tofauti kwa watu wakati yeye hanufaiki na chochote. "Kwa kweli inauma sana". CHANZO: GLOBAL PUBLISHERS. |
No comments:
Post a Comment