Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Otty Msuku ambaye ni Mtanzania,
Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya
Qatar wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika
ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi
mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. |
No comments:
Post a Comment