DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, December 19, 2014

SERIKALI YASAINI AZIMIO LA ARUSHA KUHUSU KINGA YA JAMII

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiongea mara baada ya kusaini Azimio la Arusha kwa niaba ya Serikali ya Tanzania ambalo lilipitishwa wakati wa Kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.

Katibu Mkuu Wazara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile akisoma Azimio la Arusha linalohusu Kinga ya Jamii, alisema kuwa historia imejirudia ambapo yapata miaka 47 (1967-2014) iliyopita Tanzania ilipitisha Azimio la Arusha lililolenga kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini ambao Baba wa Taifa Mwl. Julius Kmbarage Nyerere aliwaita ni maadui wa taifa.
Muwakilishi wa UNICEF nchini Dkt. Jama Gulaid akitoa neno la shukrani wakati wa kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha na aliisifu na kuipongeza Tanzania kwa kuwa na wimbo wa taifa unaozungumzia watu akiwataja kuwa ni wanawake, wanaume na watoto pamoja na bara la Afrika na watu wake.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamaii Dkt. Steven Kebwe akisistiza jambo wakati wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamaii Dkt. Steven Kebwe akisistiza jambo wakati wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
Baadhi ya wajumbe wa  kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha akifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Tanzania na washiriki wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha akionesha nakala ya Azimio la Arusha alilosaini kwa niaba ya Serikali.
Mwakilishi wa Umoja wa Mtaifa (UN) nchini Alvaro Rodriguez akimpongeza Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum baada ya kusaini Azimio la Arusha kwa niaba ya Serikali ya Tanzania wakati wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiongea na waandishi wa habari baada ya kumalizika kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment