Barabara ya Bibi Titi eneo la Akiba |
Hii ni Bibi Titi eneo la Gold Star. |
Baada ya mvua kubwa ya takriban saa mbili mfululizo, maeneo mengi jijini Dar es salaam yamejaa maji na kusababisha adha kubwa kwa wakazi wa jiji hilo. Pichani ni eneo la barabara ya Morogoro. |
Matolori ya kuuzia "Ice Creame" yakiwa yameachwa na wahusika, huku wapita njia wakivuka maji hayo bila ya habari na kiburudisho hicho. |
No comments:
Post a Comment