DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Friday, December 19, 2014

MAMA SALAMA KIKWETE AZINDUA UMOJA WA VIKUNDI VYA WA MAMA KINONDONI JANA

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Umoja wa Vikundi vya WAMA katika Wilaya ya Kinondoni wakati wa sherehe iliyofanyia kwenye Chuo cha Usafirishaji Disemba 18, 2014.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiangalia baadhi ya kazi zinazofanywa na wanavikundi wa UWAMAKI mara baada ya kuwasili kwenye sherehe ya uzinduzi wa vikundi hivyo.


Baadhi ya wanachama wa umoja wa vikundi vya  WAMA katika Wilaya ya Kinondoni wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe ya uzinduzi wa umoja wao.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akijumuika na wanavikundi vya UWAMAKI kusherehekea uzinduzi rasmi wa vikundi hivyo huko Chuo Cha Usafirishaji.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipewa zawadi ya mkeka kutoka kwa wanachama wa vikundi vya WAMA katika wilaya ya Kinondoni.

No comments:

Post a Comment