DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, December 15, 2014

TAZAMA JINSI SIMBA ILIVYOIRARUA YANGA 2 - 0 KATIKA MCHEZO WA "NANI MTANI JEMBE" JUMAMOSI ILIYOPITA

Kikosi cha Simba
Kikosi cha Yanga
Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa Simba
 Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akimdhibiti mchezaji wa Simba.
Beki wa Yanga, Kelvin Yondan akimiliki mpira barabara pembeni ya buwanja wakati wa mechi hiyo.
  Mshambuliaji wa Simba Emmanule Maguri akichuana na beki wa Yanga, Nadir Haroub.
Beki wa Yanga, Oscar Joshua akimtoka Elius Maguri wa Simba.
Beki wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa Simba, Hassan Isihaka.
Simon Msuva akichuana na Issa Rashid.
 Ivo Mapunda akiokoa mpira wa hatari katika lango la Simba.
  Danny Mrwanda akiwa haamini kilichotokea na kumfanya akose goli la wazi.
Shabiki wa Timu ya Simba akionesha ishara ya vidole kuashiria ushindi wa timu yake wa 2 - 0.
Kocha wa Yanga Marcio Maximo akiwa haamini kilichotokea baada mchezo kati ya Simba na Yanga kumsaka Nani Mtani Jembe, kumalizika kwa timu yake kuraruliwa kwa mabao 2 - 0 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo, Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe Jumamosi iliyopita.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amenyanyua juu Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika Jumamosi iliyoopita kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Simba iliibuka mshindi kwa mara ya pili mfululizo kwa kuizabua Yanga 2-0.

No comments:

Post a Comment