BAADHI YA WAKUU WA MIKOA WAENDA IKULU KUMJULIA HALI RAIS KIKWETE
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda Ikulu leo kumjulia hali
na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini
Marekani.
No comments:
Post a Comment