Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni, Daud
Felix Ntibenda alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia miradi
mbalimbali inayofadhiliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani humo. |
No comments:
Post a Comment