DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Tuesday, December 16, 2014

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE JELA

Jolly Tumuhirwe (22).
 
Hausigeli aliyenaswa kwenye video
  akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka minne jela katika mahakama moja nchini humo.
Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

No comments:

Post a Comment