DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Thursday, December 11, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI YAFANYIKA MKOANI DODOMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi David Misime akisisitiza jambo wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kwa wanawake na watoto yaliyofanyika kwenye Bwalo la Polisi Dodoma mjini.
Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Amina Mfaki akitoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo yanayohusu ukatili kwa wanawake na watoto wakati akifunga maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili kwa wanawake na watoto.
Staff Sajent Mwanajuma Mtuli wa Polisi Dodoma akisisitiza jambo kwenye ufungaji wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kwa wanawake na watoto.
Baadhi ya Askari wakisikiliza kwa makini maelezo ya viongozi mbalimbali kwenye kilele hicho.
Akina mama nao walialikwa kushiriki kilele cha maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukeketaji kwa wanawake na watoto. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment