JK ATUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA WA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA
Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt. Mohamed Gharib Bilal akimtunuku
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya Uzamivu ya Heshima (PHD Honoris
Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo jana mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment