DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Thursday, December 11, 2014

MSHINDI WA KWANZA BIG BROTHER AFRICA 2014 ATUA BONGO

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, akizongwa na umati wa watu mashabiki wake huku akiwa na furaha baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Idris ameibuka mshindi na kujibebea taji hilo la Big Brother Africa 2014. Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.
Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuwasili nchini.

No comments:

Post a Comment