DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Tuesday, March 24, 2015

AJALI NYINGINE YA BASI MKOANI ARUSHA



Basi la Sharon lenye namba za usajili T 349 CXB linalofanya safari zake Dodoma na Arusha kupitia Singida jana asubuhi lilipata ajali wakati likielekea Dodoma baada ya kuacha njia na kupinduka katika eneo la Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha. Katika ajali hiyo imethibitishwa hakuna mtu yeyote aliyefariki zaidi ya kuwepo kwa majeruhi.

No comments:

Post a Comment