Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipata maelezo juu ya hatua zilizokwishachukuliwa na
Serikali, kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, wakati
Makamu alipotembelea eneo la Buguruni Kwa Mnyamani lililoathirika na
mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es
Salaam. |
No comments:
Post a Comment