Basi lililopata ajali
Watu sita
waliofariki Dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya katika ajali
iliyohusisha magari manne likiwemo basi la kampuni ya Super Shem
lililokuwa likitokea jijini Dar-es-salaam kuelekea mkoani Mwanza majira
ya saa sita usiku ambapo liligongana uso kwa uso na gari ya halmashauri
ya wilaya ya Nzega na kusababisha magari mengine mawili kugongana. |
No comments:
Post a Comment