Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka akisoma muswada wa sheria ya Udhibiti wa Ajira kwa Wageni ya mwaka 2014 kwa mara ya pili ndani ya Bunge, tarehe 18/03/2015 Mjini, Dodoma. |
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (kushoto) akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Fenella Mukangara nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kikao, Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment