DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Tuesday, March 24, 2015

YAMOTO BAND WATINGA KWA FUJO NDANI YA STUDIO ZA 'THE SPORAH SHOW' JIJINI LONDON














Vijana wanaofanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Yamoto Band wakiwa ndani ya studio za The Sporah Show jijini London, Uingereza hivi karibuni. Vijana hao kwa sasa wanatamba na wimbo wa 'Ntakupwelepweta'. Picha kwa hisani ya SPORAH.COM

No comments:

Post a Comment