Mbunnge
wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akimkaribisha mratibu
wa msafara wa wachungaji mbalimbali wa Makanisa ya Pentekoste
kutomaeneo mbalimbali nchini, Mchungaji Bernedict Kamzee kutoka kanisa
la Glory of Crist la mkoani Katavi.
Akizungumza Mchungaji Benedickto Kamzee, kutoka Kanisa la Glory
of Christ la Katavi, alisema wamefikia uamuzi huo wa kuja Dodoma kuonana na Edward Lowassa bila kushinikizwa wala
kushawishiwa na mtu yeyote.
“Hakuna
aliyetushawishi, hata siyo maaskofu wetu, hili suala halina msukumo wowote
zaidi ya msukumo wa Mungu,” alisema Kamzee.
Kamzee
alisema wachungaji hao wanatoka kwenye madhehebu ya EAGT, TAG, PEFA, KLPT
kutoka maeneo mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment