Usiku wa kuamkia Machi 22, 2015 wana
mitindo mbalimbali wameshiriki kwenye fashion show iliyoandaliwa na
mbunifu wa mavazi wa Tanzania, Ally Rehmtullah. Onesho hilo lililopewa jina la Eleganza limefanyika Serena Hotel Dar es Salaam. CHANZO: MILLARDAYO.COM
Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa fashion show hiyo. |
No comments:
Post a Comment