DKT. BILAL AHUDHURIA KONGAMANO LA KIMATAIFA NCHINI BOTSWANA KUHUSU BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano
la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori
Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo Machi 25, 2015 kwenye Hoteli ya Mowana
iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiwa kwenye picha ya Group na Washiriki wa Kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment