Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja.
“Jamani
mtaniudhi sasa hivi, mimi siwezi kumtaja huyo mtu mbona mnanilazimisha
nyie oooh,” Wema alisema kwa hasira kwa mtu huyo aliyelazimika kuondoka
zake ili kuepusha shari.
Mastaa
hao waliokuwa wamekaa meza moja lakini kila mmoja akiwa bize na mambo
yake, waliwaumiza sana mastaa wenzao waliokuwa nao mezani kwani wote
wanawapenda lakini wenyewe ndiyo hawapendani.
Kuona
hivyo, Kajala ambaye pia alichelewa kuingia ukumbini kabla ya wenzake,
aliamua kuondoka zake bila kusema chochote kuhusiana na suala hilo
lililoacha simulizi kubwa. CHANZO: MJENGWABLOG. |
No comments:
Post a Comment