Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, DIGP, Abdulrahmani Kaniki akikagua gwaride la wakaguzi wasaidizi wa polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. |
Wahitimu wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima kwa mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. |
No comments:
Post a Comment