Hivi
ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar, kutoka na Mvua
zinazoendelea kunyesha. Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa
nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani
ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani
wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam pamoja
na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda
wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ) katika maeneo hayo. |
No comments:
Post a Comment