MABINGWA watetezi wa ligi kuu
England, Manchester City baada ya kutolewa na Barcelona katika michuano
ya ligi ya mabingwa barani Ulaya wamehamishia hasira zao kwenye michuano
ya EPL.
Jioni ya leo wakiwa nyumbani Etihad mjini Manchester wameivurumishia West Bromwich Albion mabao 3-0 katika mechi ya ligi.
Matokeo hayo yamewaweka City nafasi ya pili kwa pointi 41, tatu nyuma ya vinara Chelsea.
|
No comments:
Post a Comment