DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, March 23, 2015

KIVUKO CHA SENGEREMA

Kivuko cha Mv. Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka kigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria katia ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment